The House of Favourite Newspapers

DC SABAYA Awakamata Viongozi Kijiji, Baada ya Kuuza Kiwanja – Video


Mkuu Wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya aamuru viongozi wa kijiji kuwekwa ndani baada ya kubainika kuuza eneo Tengefu la Kijiji kwa shilingi millioni 4.

Viongozi hao wameshirikiana kwa pamoja katika uuzaji huo, huku Mkuu huyo wa wilaya akiamuru kurudishwa shamba hilo rasmi kwa wananchi hao wa kijiji.

Comments are closed.