The House of Favourite Newspapers

DCB Washiriki Uzinduzi wa Mpango Mkuu wa Maendeleo Sekta ya Fedha

0
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Godfrey Ndalahwa (kushoto) akiwa na mmoja ya washiriki  wakati wa  uzinduzi wa Mpango Mkuu  wa Maendeleo ya Sekta ya Fedha nchini  uliozinduliwa na serikali  katika ukumbi wa Wizara ya Fedha  jijini Dodoma.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Godfrey Ndalahwa (kushoto) akisalimiana na baadhi ya washiriki  wakati wa  uzinduzi wa Mpango Mkuu  wa Maendeleo ya Sekta ya Fedha nchini  uliozinduliwa na serikali  katika ukumbi wa Wizara ya Fedha  jijini Dodoma jana.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Godfrey Ndalahwa (kulia) akishiriki uzinduzi wa Mpango Mkuu  wa Maendeleo ya Sekta ya Fedha nchini pamoja na washiriki wengine uliozinduliwa na serikali  katika ukumbi wa Wizara ya Fedha  jijini Dodoma jana.
Leave A Reply