The House of Favourite Newspapers

ads

Dereva Jiunge na Chapride Ufurahie Kutokatwa Kamisheni na Kupata Mikopo

0

Chapride imesambaa kila kona jijini Dar es Salaam na wikiendi hii, ofa ya usafiri inaendelea kama kawaida ambapo wateja 100 wa mwanzo watakaotumia nauli isiyozidi shilingi elfu 10, watarudishiwa fedha zao.

Kama wewe ni dereva bodaboda, Bajaj au teksi wa Dar, changamkia Chapride kwani HUKATWI kamisheni, unalipwa pesa zako zote CHAP ukishamaliza safari yako!

💥Si hivyo tu, ukijiunga na Chapride Tanzania @ @chapridetz kampuni ya usafirishaji abiria na huduma nyingine kwa njia ya mtandao, utapata fursa ya KUPATA MKOPO WA SIMU, GARI, AU PESA KUANZIA Shs. 100,000 hadi 50,000,000/=

💥 Kwenye ofa za usafiri bure wikiendi, unalipwa pesa yako haraka kupitia simu yako ukimaliza safari ya mteja!

Pakua Application ya Chapride driver kupitia:

ANDROID: Chapride Driver App

IOS: Chapride Driver App

Tupigie kupitia
Simu:+255620817304

#chapride
#chapridetanzania
@chapridetz

Leave A Reply