The House of Favourite Newspapers

DIAMOND Afunga Mitaa Iringa, Mashabiki Walilia Kusukuma Gari Lake! – Video

Shangwe la Wasafi Festival 2018, baada ya kuunguruma kwa kishindo mkoani Mtwara sasa ni zamu ya Iringa ambapo tamasha litafanyika Ijumaa ya Novemba 30.

 

Mapokezi ya mnyama SIMBA mwenye Bongo fleva yake pale kitaa cha Iringa usipime mtu wangu Cheki hapa wana wa Iringa walivyo show love kwa SIMBA.

VIDEO: TAZAMA TUKIO HILO HAPA

Comments are closed.