The House of Favourite Newspapers

Diamond Awashukuru Mashabiki, Awaahidi Wabongo Shoo Kali Mkesha wa X-Mass

diamond

STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul “Diamond Platnumz” ametoa shukrani zake kwa mashabiki wote waliofanikisha ajinyakulie tuzo tatu kutoka tuzo za Afrima 2016 zilizotolewa juzi Jumapili jijini Lagos, Nigeria.

Tuzo alizoshinda staa huyo ni pamoja na WIMBO BORA YA MWAKA AFRIKA- UTANIPENDA, MSANII BORA WA AFRO POP AFRIKA na MSANII BORA WA AFRIKA MASHARIKI.

Kupitia akaunti yake ya Instagram, Diamond amewashukuru hivi mashabiki;

Mbali na shukrani hizo, Diamond amewaahidi mashabiki wake wa Tanzania hususani wa jijini  Dar shoo kali katika mkesha wa X-Mass Desemba 24, mwaka huu ambapo atapiga shoo sambamba na vijana wake akiwemo RAYVANNY, RICH MAVOCO na HARMONIZE.

Huu ndiyo ujumbe wake kwa mashabiki wa Bongo;

Comments are closed.