Diamond, Dogo Janja, Aslay, Tunda, Ben Pol, Wapitiwa Na Young Killer Kwenye ‘Apple DSM’ Wimbo Mpya

 

Msanii wa bongo fleva Young Killer amemzawadia rapa Young Dee zawadi ya wimbo mpya, ‘Apple DSM’ siku ya jana ambayo ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwa rapa huyo.

 

Kupitia akaunti ya Young Killer aliandika, “KATIKA KUHESHIM SIKU YAKO YAKUZALIWA MWANANGU @youngdaresalama “UKIWA KAMA MOJA YA WATU NILISHIRIKIANA NAO VIZUR KWENYE GAME HII” NAOMBA NIKUTAKIE MAISHA MAREFU NA YENYE FURAHA” PIA NIMEONA NIKUPE HIYO ZAWAD YAKO NDOGO “WEW PAMOJA NA MWENZIO @official_tunda #HIYO NI ZAWAD YENU

 

Wimbo huo umawazungumzia baadhi ya wasanii humo ndani akiwemo, Diamond Platumz, Aslay, Abdu Kiba, Ben Pol, Tunda na wengine.

 

Chini kabisa unaweza ku download kama umeupenda.

 

 

Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa,  ingia Global App na kama huja-install, tumekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

Isikilize hapa.

 

 

DOWNLOAD AUDIO|MP3


Loading...

Toa comment