The House of Favourite Newspapers

Diamond, Shetta ‘Wapeana fangasi’ kiaina

0

Stori: Hamida HassanDIAMOND-PLATNUMZ

Diamond

Juzikati ilitupiwa picha mtandaoni ikimuonesha Diamond akiwa amevaa sandozi f’lani zenye rangi nyeusi na nyeupe, watu kibao waka-like, baadaye viatu hivyo vikaonekana vimevaliwa na Shetta na hapo ndipo gumzo likaanza.

Wengi walihoji mtu halali anayevimiliki, huku baadhi wakidai eti Shetta ndiye aliyeomba deiwaka ili apigie picha.Shetta_lg_lrg

Shetta

Mbali na yote, mchangiaji mmoja mwenye jina la Wizmafet kwenye mtandao wa Instagram akachambua madhara ya watu kuvaliana viatu na kueleza kuwa, kwa kufanya hivyo kuna uwezekano wa kuambukizana fangasi.

Leave A Reply