The House of Favourite Newspapers

Dkt. Biteko Ateua wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la TANESCO

0

Kufuatia uteuzi wa Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Dkt. Rhimo Simeon Nyansaho uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan mnamo Desemba 19, 2023 Naibu Waziri Mkuu Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto M. Biteko ameteua wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kama ifuatavyo: –

1. Dr. Lucy-Mary Mboma
2. Bw. Isaack Ambrose Chanji
3. Bw. Boma Obunga Raballa
4. Adv. Grace Philotea Joachim
5. Prof. Hellen Bandiho
6. Balozi Zuhura Bundala
7. Prof. Ninatubu Lema
8. Prof. Idris S. Kikula,

Uteuzi huu ambao umetekelezwa kwa mujibu wa Kifungu Namba 9(1) na (3) cha Sheria ya Mashirika ya Umma ya Mwaka 1992 (The Public Corporation Act of 1992) ni wa kipindi cha miaka mitatu kuanzia tarehe 18 Machi, 2024.

VANESSA ACHINJWA na KIJANA ALIYEMKATAA KIMAPENZI – MAMA ASIMULIA MWILI ALIVYOUKUTA CHUMBANI…

Leave A Reply