The House of Favourite Newspapers

Dkt. Mwinyi Apiga Kura Zanzibar

0

MGOMBEA urais Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Mwinyi,  amepiga kura Mjini Unguja ambapo ametoa rai kwa Wazanzibari kuendelea kujitokeza vituoni kwa ajili ya kupiga kura.

 

Vilevile, mgombea-mwenza wa urais JMT, Samia Suluhu Hassan,  naye amepiga kura Zanzibar na kuwataka walio na wasiwasi kujitokeza kupiga kura akisema hali ipo vizuri.

 

Leave A Reply