The House of Favourite Newspapers

Dkt. Tulia Achukua Fomu ya Uspika

0

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson leo Jumatatu, Januari 10, 2022 amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Uspika wa Bunge, Dkt. Tulia amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu msaidizi Mkuu Idara ya Organaizesheni.

 

Wengine waliochukua fomu ya Uspika ni Mbunge wa Mlimba (CCM), Godwin Kunambi na aliyekuwa Mbunge wa Shinyanga Mjini, Stephen Masele.

Leave A Reply