The House of Favourite Newspapers

Droo ya Pili ya Shinda Nyumba Yafanyika Karume – Dar

0

nyumba (3)Wasomaji wakichangamkia kununua magazeti wakati wa droo ya pili ya Shinda Nyumbanyumba (2)Mnenguaji akitoa burudani wakati wa droo hiyo.nyumba (6)Mmoja kati wananchi waliofika kwenye droo ya pili ya Shinda Nyumba akiokota kuponi ili kumsoma jina la mshindi wa droo ya pili ya shindano hilo.
nyumba (9)Mnenguaji akifanya yake mbele ya meza kuu.nyumba (8)Mhariri Kiongozi wa Magazeti Pendwa wa Global Publishers, Osar Ndauka akimkabidhi mshindi wa fulana wakati wa droo hiyo.nyumba (4)Msomaji akiweka kuponi kwenye ndoo ili kujaribu bahati yake ya kwenye shindano hilo.nyumba (7)Mama huyo akisoma jina la mshindi wa droo ya pili ya Shinda Nyumba.nyumba (10)Majina ya washindi wa droo ya pili ya Shinda Nyumba iliyochezeshwa jioni ya leo eneo la Karume jijini Dar.

Picha na Richard Bukos na Denis Mtima/ GPL

Leave A Reply