The House of Favourite Newspapers

Dully: Mi’ Niende Kwa Waganga? Big No!

0

Stori: Gabriel Ng’osha, Wikienda

DAR ES SALAAM: Lejendari wa Bongo Fleva, Abdul Sykes ‘Dully’ amefunguka kuwa, baadhi ya wasanii huwa wanakwenda kwa waganga wa kienyeji ili kufanikiwa kutokana na tamaa na kutoridhika na kile wanakichopata, lakini kwa upande wake yeye hawezi kufanya hivyo.

Dully aliliambia Wikienda kuwa, wasanii wengi wanaamini ushirikina lakini yeye anaridhika na maisha yake kwa kila akipatacho.

“Mi’ niende kwa waganga? Big no! N-aridhika na ninachokipata japo ni kidogo ila nagawana na wenzangu, watoto na familia,” alisema Dully.

Leave A Reply