The House of Favourite Newspapers

Eddy Kenzo Awabwaga Akina Diamond Tuzo za Uganda

0

artist-6866Eddy Kenzo

Jana, August 19, 2016, usiku kwenye Ukumbi wa Kampala Serena Hotel, zilifanyika tuzo za Uganda Entertainment Awards (UEA2016) ambapo washindi wa vipengele mbalimbli walitajwa na kujinyakulia tuzo zao. Waliokuwa wanawania tuzo hizo walitangazwa June 20 mwaka huu ambapo zoezi la kupiga kura lilianza mara moja mpaka jana ambapo tuzo hizo zilifanyika.

Kenzo-UEAKwenye tuzo hizo, msanii wa muziki nchini Uganda, Eddy Kenzo alitawala tuzo hizo kwa kunyakuwa tuzo nyingi zaidi ya wengine huku akiwaburuza mastaa kibao wa Kimataifa wakiwemo akina Diamond Platinumz, Vanesa Mdee na Ali Kiba wa Tanzania, Wizkid, Yemi Alade na Korede Bello wa Nigeria kwenye vipengele vya Msanii Bora wa Afrika Mashariki (Best East African Act), Msanii Bora wa Afrika (Best African Act) ambazo alikuwa anachuwana nao.

DIAMOND (3)Diamond Platnums

Tuzo nyingine alizochuwa Eddy Kenzo ni Msanii wa Mwaka (Artist of the Year) aliyomshinda Bebe Cool na Sheebah Karungi, pamoja na Video Bora (Best Video Award) ikienda kwa wimbo wake wa Soraye.

KIBA (1)Ali Kiba

Mbali na Eddy Kenzo, wasanii wengine walionyakuwa tuzo ni Sheebah Karungi aliyepata tuzo ya Msanii wa kike (Female Artist award) na Winnie Nwagi ambapo wasanii Bobi Wine, Bebe Cool na Radio & Weasel hawakupata tuzo hata moja walizokuwa wakiwania, Juliana Kanyomozi, Iryn Namubiru, Jose Chameleone na Irene Ntale hawakuchaguliwa kuwania tuzo yoyote.

wizkid-1Wizkid

Orodha ya tuzo, washindani na washindi.

1. Artist of the Year

Bebe Cool

Sheebah Karungi

Eddy Kenzo (Winner)

2. Best Male Artist

Eddy Kenzo (Winner)

Radio & Weasel

David Lutalo

A Pass

3. Best Female Artist

Rema Namakula

Sheebah Karungi (Winner)

Stecia Mayanja

Mary Bata

4. Best Dance/Live Performance (N/A)

Cindy Sanyu

Gravity Omutujju

Bebe Cool

Ziza Bafana

Sheebah Karungi

4. Best Raggae Artist

Bebe Cool

A Pass

5. Best Dancehall Artist

Ziza Bafana (Winner)

Nutty Neithan

Sheebah Karungi

Cindy Sanyu

6. Best Gospel Artiste

Julie Mutesasira

Wilson Bugembe

Levixone (Winner)

Exodus

7. Best Band

Quela Band (Winner)

Golden Band

Cream Production

8. Best Breakthrough Artiste

Winnie Nwagi (Winner)

Carol Nantongo

Nutty Neithan

Ryddim Galz

9. Best Artist in Diaspora

SK Simeon

George Will Dive

C Moseh

Bella Mubiru (Winner)

10. Best RNB Artiste

King Saha

Rema Namakula (Winner)

Fille

Geosteady

11. Best Kadongo Kamu (N/A)

Mathias Walukagga

Hassan Nduga

Kazibwe Kapo

12. Video of the Year

Nkwatako by Sheebah Karungi

Soraye by Eddy Kenzo (Winner)

African Gal by Bebe Cool

Njogereza by Navio

Kyadaaki by Iryn Namubiru

13. Best Collaboration

Science by King Saha ft Winnie Nwagi

Same Way by Geosteady ft Lydia Jazmine (Winner)

Royal Eddy Kenzo ft Patoranking

Friendly Match by Ziza Bafana ft Zanie Brown

14. Song of the Year

Musawo by Winnie Nwagi (Winner)

Alintwala by Stecia Mayanja

Same way by Geosteady ft Jazmine

Mu Bbara by Daxx Kartel

My Lover by Mary Bata

15. Song Writer of the Year (N/A)

A Pass

Ray Signature

Naava Grey

Mowzey Radio

16. Best DJ

DjRoja & Djsilck Stuart (Winner)

DJ Brian

Selctor Jay

Urbanstar

17. Best Audio Producer

Nessim

Nash Wonder

Producer Ronnie (Winner)

Best Touch

D-King

18. Best Music Video Producer

Grate Make

Shasha Vybz (Winner)

Noltonax and Georgeous Filmz

Jahlive

19. Best East African Act

Ali Kiba (Tanzania)

Sauti Sol (Kenya)

Diamond Platinumz (Tanzania)

Eddy Kenzo (Uganda) (Winner)

Vanessa Mdee (MDEE)

20. Best African Act

Yemi Alade (Nigeria)

Diamond Platinmuz (Tanzania)

Eddy Kenzo (Uganda) (Winner)

Korede Bello (Nigeria)

Wizkid (Nigeria)

21. Best TV Station

NTV

Bukedde TV (Winner)

Urban TV

Channel 44

23. Best Entertainment TV Show

The Beat (NTV) (Winner)

Full Doze (Bukedde)

Backstage Pass (Urban TV)

24. Best Male Entertainment TV Presenter

MC Kats

Daglous Lwanga (Winner)

Denzel

25. Best Female Entertainment TV Presenter

Flavia Namulindwa (Winner)

Justine Nantume

Malaika NNyanzi

Lady Beezo

26. Best TV Series

The Hotel

Deception (Winner)

Coffee Shop

27. Remarkable TV Host

Frank Walusimbo (Winner)

Simon Kaggwa Njala

Simon Muyanga Lutaaya

Samson Kasumba

28. Best Radio Station

Galaxy FM (Winner)

CBC FM

Power FM

Capital FM

Sanyu FM

29. Best Male Entertainment Radio Show Host

McKenzie (Winner)

Kaparaga

Kamagu

Denzel

30. Best Female Entertainment Radio show host

Flavia Tumusiime (Winner)

Deedan

Jaq Deweyi

31. Remarkable Radio Presenter

Kuku Wazabanga (Kasuku) (Winner)

Bina Baby

Patriko Mujuuka

Abbey Mukiibi

Omulangira Ndawusi

32. Best Comedy Group (N/A)

Comedy Files Ug

Jazz Comedy Uganda

The spotlight akandolindoli

Fan Factory

33. Outstanding Male Comedian (N/A)

MC Mariachi

Amooti

Salvado Idringi

Mad Rat & Chiko

MC Kapale

34. Outstanding Female Comedian

Anne Kansiime (Winner)

Kobusheshe

Kotilda

35. Best Theatre Drama Group (N/A)

Ebonies

Fan Factory

The Sportlight-Akondolindoli

36. Best Actor

Andrew Benon Kibuuka

Farouk Mutebi (Winner)

Yasini Lubowa

37. Best Actress

Sarah Kisawuzi

Fausta Nanziri (Winner)

Mariam Ndagire

Faridah Kuteesa

38. Outstanding Drama / Theatre Personality (N/A)

Abbey Mukiibi

Leila Kalanzi

Sam Bagenda (Dr Bossa)

Justine Nantume

39. Best All Round Entertainment Personality

Bobi Wine (Winner)

Salvado Idringi

Andrew Benon Kibuuka

Mariam Ndagire

40. Best Sports Personality

Denis Onyango

Ivan Byekwaso (Winner)

Ronald Otile

Solomon Mutai

41. Best Female Sports Personality

Zaina Kagoya

Lillian Zawedde (Winner)

Stella Chesang

Peace Prescovia

42. Outstanding Model

Adam Gashe

Akello Patricia

Leila Kalanguka (Winner)

Meddie Lubowa

Stacy Amito

43. Outstanding Fashion Designer

Raphael Kasule

Martha Jambo

Anitah Berry (Winner)

44. Best Fashion Brand

K Raphael Couture

Slyvia Owori

Paple Rayn

Kwesh (Winner)

45. Best Entertainment Wesbsite/ Blog of the Year (NA)

Big Eye Ug

Enews Ug

Matooke Republic

Chano 8

46. Best Hip-Hop Artiste*
N/A
47. Lifetime Achievement Aard

Afrigo Band (Winner)

48. Humanitarian Award
Pastor Robert Kayanja (Winner)

*The winners were NOT announced at the ceremony. This list will be updated when the organisers finally make the full list of winners available.

Leave A Reply