The House of Favourite Newspapers

EPL: Liverpool Achezea 2 za Hull City

JANA Jumamosi, Februari 4, 2016, Klabu ya Liverpool wakiwa ugenini wameendeleea kuchezea kichapo baada ya kunyukwa na Klabu ya Hull City katika Uwanja wa KCOM.

Alfred N’Diaye ndiye alikuwa wa kwanza kuifungia Hull City dakika ya 44 baada ya Golikipa Simon Mignolet kufanya mistake langoni kwake.

Sadio Mane aliingia kuongeza nguvu kwa upande wa Liverpool japo jitihada zake hazikuisaidia timu yake kufunga angalau hata bao mojahuku Philippe Coutinho alionekana kukosa mabao mara kwa mara alipokaribialango la wapinzani.

Mnamo dakika 84,  Oumar Niasse aliiandikia Hull bao la 2 baada ya kumalizia pasi ya Andrea Ranocchia.

Hadi mchezo unamalizika, Hull City 2-0 Liverpool.

HULL CITY (4-4-1-1): Jakupovic 8: Elabdellaoui 7 (Tymon 62mins), Ranocchia 7, Maguire 7, Robertson 7: Grosicki 7.5 (Meyler 79mins), Huddlestone 8.5, N’Diaye 8, Clucas 7: Evandro 6.5: Hernandez 6 (Niasse 65mins 7)

SUBS NOT USED: Marshall (GK), Maloney, Mbokani, Diomande

GOALS: N’Diaye (44), Niasse (84)

BOOKED: Maguire, Tymon

LIVERPOOL (4-3-3): Mignolet 5: Clyne 5, Lucas 5, Matip 5, Milner 5 (Moreno 83mins): Lallana 6 (Origi 83mins), Henderson 7, Can 4 (Sturridge 67mins 5): Mane 6, Firmino 4, Coutinho 4

SUBS NOT USED: Karius (GK), Wijnaldum, Gomez, Alexander-Arnold 

BOOKED: Milner

ATT: 24,822

REFEREE: Lee Mason 7

MOTM: Tom Huddlestone

MSIMAMO WA LIGI KUU UINGEREZA (EPL)

Team P GD Pts
1 Chelsea 24 34 59
2 Tottenham Hotspur 24 30 50
3 Arsenal 24 24 47
4 Liverpool 24 22 46
5 Manchester City 23 19 46
6 Manchester United 23 12 42
7 Everton 24 13 40
8 West Bromwich Albion 24 3 36
9 West Ham United 24 -9 31
10 Watford 24 -11 30
11 Stoke City 24 -7 29
12 Burnley 24 -9 29
13 Southampton 24 -7 27
14 Bournemouth 24 -12 26
15 Middlesbrough 24 -8 21
16 Leicester City 23 -14 21
17 Swansea City 23 -24 21
18 Hull City 24 -25 20
19 Crystal Palace 24 -13 19
20 Sunderland 24 -18 19

Save

Save

Save

Comments are closed.