The House of Favourite Newspapers

ERIC SHIGONGO AKIONGEA NA WANANCHI WA TANDALE (Picha +Video)

Mkurugenzi Mtendaji wa makampuni ya Global Group na mhamasishaji maarufu Afrika Mashariki na Kati, Eric Shigongo akiongea na wananchi wa Tandale Uwanja wa Maguniani.

 

Mkurugenzi Mtendaji wa makampuni ya Global Group na mhamasishaji maarufu Afrika Mashariki na Kati, Eric Shigongo, leo ameongea na wakazi wa Tandale jijini Dar katika Uwanja wa Tandale Maguniani.

 

Shigongo amefika kutoa amasa kwa vijana wa Tandale na kumsapoti msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz kwa kutoa bima za afya kwa watu 1000, mitaji kwa akina mama wasiopungua 200 wa Tandale.

Umati wa wananchi wakiendelea kumsikiliza Eric Shigongo.
Msanii wa Bongo Fleva Chid Benz akisalimiana na Eric Shigongo.

PICHA NA RICHARD BUKOS | GPL

Comments are closed.