The House of Favourite Newspapers

ESHA BUHETI: HAO WANAOWASHWA WASHUKURU NIMESHAKATA KUCHA!

0
Esha Akiwa Na Mtoto Wake Wa Kwanza Anayeitwa Clarrisa

Diva anayebamba vilivyo kwenye tasnia ya Bongo Muvi, Esha Buheti ambaye ni mama wa watoto wawili, Clarrisa na Crilbell, ametoa povu la kimataifa, kwa wale wote wenye tabia ya kumpangia jinsi ya kuishi na watoto wake.

“Inavyoonekana Esha kuna watu wanamchokonoa kuhusu watoto wake, maana huyu dada siyo mtu wa kuchamba, sasa sijui imekuwaje tena,” ilisomeka sehemu ya comments kwenye posti yake hiyo katika ukurasa wake wa Instagram.

Mtoto Wake Wa Pili Cribell Aliyejifungua Hivi Karibuni

NA ISRI MOHAMED/GPL

 

 

Leave A Reply