The House of Favourite Newspapers

ads

Esha Buheti Kathibitisha Kufunga Ndoa Na Mchezaji Wa Singida Big Stars –Ni Ndoa Ya Pili

0

Esha Salim Buheti ni muigizaji mkali nchini Tanzania na mjasiriamali wa chakula wa kishua ambaye amethibitisha kufunga ndoa na mchezaji wa Singida Big Stars aitwaye Ahmed Waziri.Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Esha ameposti video na picha zao za ndoa na kuandika; “For the rest of my life mume wangu nakupenda alhamdulillah tumehalalisha tusubirie sherehe kwa uwezo wa Allah…”
Esha ni mama wa watoto wawili na kabla ya ndoa hiyo mpya ya sasa aliwahi kuwa kwenye ndoa na mumewe wa mwanzo ambaye ni meneja wa benki.
Mchezaji huyo aliyemua Esha anatokea Timu ya Singida Big Stars, lakini kabla ya hapo aliwahi kuitumikia Timu ya Mbeya City ingawa yeye mwenyewe siyo maarufu sana.

Leave A Reply