The House of Favourite Newspapers

Esma Afanyiwa Maulid Madale, Dar – Video

0

DADA wa mwanamuziki Diamond Platnumz, aitwae Esma Platnumz,   usiku wa kuamkia leo Julai 31, 2020 amefanya sherehe ya Maulid huko Madale, Tegeta jijini Dar es Salaam ikiwa ni wiki chache tangu afunge ndoa na mumewe Yahya maarufu kwa jina la Msizwa.

Ilipofika zamu ya Diamond na kutakiwa kuongea chochote alisema,”Naomba ndoa ya dada yangu iwe milango ya kuwafungulia wasiooa kama mimi waoe na wasioolewa waolewe.”

Shughuli hiyo ilianza saa moja jioni baada ya mume wake Esma, Yahya Msizwa, kuingia nyumbani hapo ambapo alipewa nafasi ya kutambulisha familia yake.

 


Leave A Reply