The House of Favourite Newspapers

EWURA Yatangaza Bei Mpya za Mafuta

0

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kupanda kwa  bei za mafuta kutokana na kubadilika kwa bei katika Soko la Dunia na gharama za uagizaji. Mabadiliko ya bei hizo yanaanza kutumika kuanzia leo Sept Mosi, 2021

 

Leave A Reply