The House of Favourite Newspapers

EXCLUSIVE: Ebitoke Atinga Studio Kurekodi Ngoma Yake! – Video

MUIGIZAJi wa vichekesho ambaye kwa sasa amegeukia gemu la Bongo Fleva, Anastazia Exavery ‘Ebitoke’,  kwa mara ya kwanza amezungumzia jinsi alivyoweza kuimba mpaka kufanikiwa kuachia ngoma mpya inayoitwa ‘NIPSEY’.

 

Ebitoke amefunguka hayo wakati akipiga stori na Global TV Online na kuanika kwa nini ameamua kuugekia muziki badala ya fani yake ya uigizaji iliyompa jina na michongo kadhaa ya fedha.

 

MSIKIE EBITOKE AKIFUNGUKA HAPA

Comments are closed.