The House of Favourite Newspapers

#Exclusive: Kajala Amkana Harmonize – “Paula Au Mimi Nikifa Mmoja Atapata Tabu Sana” – Video

0
Msanii wa Bongo Movies, Kajala Masanja

STAA mkali kwenye kiwanda cha filamu nchini Tanzania almaarufu Bongo Movies, Kajala Masanja amefanya mahojiano na Global Tv na kudai kuwa watu wengi wanatapeliwa kupitia jina lake na mwisho wa siku msala unabaki kwake.

Kajala ameendelea kwa kusema kuwa amewahi tafutwa na Mwanajeshi kuwa kamtapeli na atoe fedha hize ambazo zilikuwa ni laki sita, Kajala anadai kuwa walikaa chini na Mwanajeshi huyo akamuelewesha hadi akaelewa.

Pia amefunguka kuwa hakumbuki chochote kuhusiana na mahusiano yake yaliopita kwasababu hana kumbukumbu yoyote kama alikuwa na mahusiano huko nyuma.

Leave A Reply