The House of Favourite Newspapers

Exclusive: Kusah Hajaacha Kitu – “Aunty Anajua Kuhusu Mimi Na Wolper, Namuheshimu Sana” – Video

0


MSANII wa Bongo Fleva, Salmin Hoza almaarufu Kusah amefunguka kuwa hakulifuatilia ishu ambayo iliyoibuka kwenye mitandao ya kijamii, kuwa ana mahusiano ya kimapenzi na msanii wa Bongo Muvi, Jacquline Wolper kwasababu ni uzushi ambao haufanani na ukweli hata kidogo.

Leave A Reply