Exclusive: Mjamzito Aliyevimba Matiti, Daktari Asimulia Mazito! – Video

MAAJABU na huzuni vimemkumba mama mjamzito, Neema Peter John,  mkazi wa Mahandu Machinjioni jijini Mwanza baada ya kuvimba matiti na kumsababishia maumivu makali.

 

Daktari Jafari Ndege ambaye ni mtaalam wa magonjwa ya kina-mama amezungumza na Global TV Online kuhusu tatizo hilo.

Fungua video hapo chini. 


Loading...

Toa comment