The House of Favourite Newspapers

Exclusive: Mshambuliaji wa Lwandamina Atua Dar Usiku, Kusaini Simba

juma-luizioDAR ES SALAAM: Mshambuliaji Juma Luizio aliyekuwa akinolewa na kocha Mpya wa Yanga, George Lwandamina kunako Klabu ya wa Zesco ya Zambia ametua nchini usiku na kuna taarifa zinaeleza anaweza kujiunga na Simba kwa mkopo.
Luizio alikuwa chini ya Kocha George Lwandamina ambaye sasa amejiunga na Yanga. Taarifa zinaeleza, Luizio amekubali kujiunga na Simba kwa mkopo ili kuboresha kiwango chake. Mtanzania huyo amekosa namba ya kudumu katika kikosi cha Zesco chini ya Lwandamina.

Darassa Afunguka Tuhuma za Kuiba Beat ya Saida Karoli Kwenye Wimbo Wake wa Muziki

Comments are closed.