The House of Favourite Newspapers

EXCLUSIVE: MTATIRO Aanika A-Z Mgogoro CUF – VIDEO


Global TV imefanya mahojiano na aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro ambaye ametimkia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

 

Kupitia Exclusive Interview, Mtatiro amesema kwa sasa upinzani umepoteza dira na hauna hoja ya msingi hivyo ameona ni vema kujiondoa na kujumuika na watu wanaopigani maslahi ya wananchi ambao ni CCM lakini

 

Aidha, amesema hana ugomvi na Viongozi wa CUF hususan Maalim Seif, na kwamba wanaongea vizuri tu.

MSIKIE MTATIRO AKIFUNGUKA

Comments are closed.