The House of Favourite Newspapers

#Exclusive: Nakaaya Sumari Afunguka Kichapo Cha Ndoa Kilivyomtesa Mpaka Kutuma Ujumbe Mitandaoni – Video

0


Mwanadada Nakaaya Sumari kupitia Exclusive Interview aliyofanya na Global TV, amefunguka kuwa wanawake wengi wanateseka sana katika ndoa na hata wanapopeleka kesi zao katika madawati husika hazifanyiwi kazi kama inavyotakiwa.

Nakaaya ameyasema hayo alipokuwa akizungumzia ndoa yake iliyopita pindi mwanaume huyo alivyokuwa akimnyanyasa na kumfanyia vurugu kibao wakati wakiwa pamoja.

Hata hivyo Mwanadada Nakaya amedai kuwa tayari ameshapona na matarajio yake ni Waziri Gwajima kusimamia ipasavyo kwani mwanamke akiwa na Amani ni sawa na Taifa zima kuwa na Amani.

Leave A Reply