Aunty Ezekiel- “Mimi Ndiye Msanii Mwenye Ngozi Nzuri Zaidi, Ndoa Kwangu Hapana”- Video
Msanii wa Bongo Movie Aunt Ezikiel maarufu kama Mama Nono ameiambia Global Tv kuwa hakumsanii yeyote hapa Bongo anayemfikia kwa ngozi nzuri kwani ngozi yake inavutia na kuteleza vizuri.
Aunt ameweka wazi kuwa hakuna uchawi katika hilo bali ni kutumia vipodozi kama anavyopaka yeye na ndiyo maana ameamua kufungua duka lenye vipodozi hivyo ili watu wasihangaike tena bali wapate suluhisho la ngozi zao.