The House of Favourite Newspapers

Exclusive: Poshy Acharuka “Msinifananishe na Sanchi, Anafanya Nini mjini” -VIDEO

Mrembo ambaye anaendelea kutikisa na shepu yake mjini Jacqueline Obed maarufu kama Poshy Queen, amefunguka mbele ya Global TV kuhusu watu kumfananisha ama kumlinganisha na mrembo mwingine ambaye pia ana shepu nzuri balaa maarufu kama Sanchi.

Poshy ameeleza jinsi gani anakerwa na kitendo hicho na kusema kwanza hawafanani kabisa hata hivyo Sanchi ni mnene zaidi kuliko yeye.

Comments are closed.