The House of Favourite Newspapers

Millard Ayo Afunguka kwa Uchungu Zuchy “Alikuwa Na Njaa ya Mafanikio” – Video

0


Aliyekuwa bosi wa Zuchy Millard Ayo amefanya mahojiano na Global Tv na kueleza kuwa kijana Zuchy alikuwa na njaa ya mafanikio ndiyo maana alijitoa kwa nguvu zake zote katika kazi.

Millard ameendelea kuiambia Global Tv kuwa vijana hawapaswi kushiba hata kama chakula kimejaa sahani kwani mafanikio huja katikati yasafari au mwishoni na siyo mwanzo.

VIDO VIDOX ALIYEIBUA AJALI MBAYA ya ZUCHY AFUNGUKA – ”NILIOGOPA – MVUA KUBWA – ALILALA CHINI”…

Leave A Reply