Fainali za AFCON 2021 Ziko Palepale


Hatimaye Shirikisho la kabumbu barani Afrika CAF limethibitisha kuwa fainali za kombe la Mataifa ya Afrika AFCON 2022 zitafanyika nchini Cameroon kama ilivyokuwa imepangwa awali.

Hii inafuatia wiki kadhaa za mikwara na miongozo ya UEFA na FIFA kutaka AFCON isogezwe mbele.

Na sasa ni rasmi maombi hayo yamegonga mwamba na CAF chini ya Rais Patrice Motsepe imekunjua makucha na kushikilia msimamo wake ili kulinda hadhi ya soka la Afrika.701
SWALI LA LEO

Kupanda Kwa Bei ya Mafuta Nchini, Nini Kifanyike Kupunguza Bei?
Toa comment