The House of Favourite Newspapers

Familia: Hatujakataa Kuishirikisha Serikali Katika Msiba wa Kabwe

0

kabwe

Marehemu Wilson Kabwe.

Familia ya Marehemu Wilson Kabwe imesikitishwa na taarifa zilizosambazwa kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuhusu kauli na msimamo wa familia kuwa hawataihusisha serikali katika msiba huo, wasema aliyetoa taarifa hiyo siyo msemaji wa familia. Isome taarifa yao waliyotoa kwa vyombo vya habari hapa chini;

taarifa

Leave A Reply