The House of Favourite Newspapers

FT: Mbao 1-2 Yanga Uwanja wa CCM Kirumba

Full Time Mbao 1-2 Yanga 90 Zinakamilika zinaongezwa dakika 4

90 Zinakamilika zinaongezwa dakika 4

89 Yanga safari kwa Metacha 88 Haji anatupa majalo ovyo
87 Tshishimbi anachezewa rafu anapewa huduma ya kwanza anabebwa kwenye machela.

86 Kabwili anaanzisha mashambulizi
85 Wanaanza Yanga, Kabwili anadaka shuti jepesi

80 Haji anapiga faulo
78 Mbao wanacheza rafu, Babilas Chitembe kadi ya njano

71 Vincent anaingia anatoka Tambwe
70 Mbao wanajaribu wanapasisha 69 Tambwe anafunga bao la 2 kwa mkwaju wa penalti akitumia guu la kulia.

66 Mulilo ananawa mpira, Yanga wanapata penalti

65 Eric Mulilo anaonyeshwa kadi ya njano

Dakia ya 65 Athanas anatoka Mwangosi anaingia

64 Ninja anacheza rafu kwa Pastory

63 Pastory anachezewa rafu na Ninja, Charles Mbao wanapoteza nafasi ya wazi

57 Ajibu, Boan, Yondan, Kabwili, mpira unakamwatwa na Mbao wanaotea.

56 Ajibu anapeleka mashambuizianapoteza
55 Tambwe anachezewa rafu eneo la hatari na Mwasa
54 Papy anaudhibiti mira,Kabwili anaanza, Ngasa anacheza faulo.53 Kona inapigwa na Boban, Metacha anadaka 52 Njohole anakosa nafasi ya wazi. Tambwe. Tshishimbi kona ya wanza kwa Yanga.51 Yondani anaonyeshwa kadi ya njano. 49 Tshishimbi anapiga kross, Makambo anapiga kichwa  48 Ajibu Njohole anaanua, Paul anajaza majalo yanatoka nje, Metacha, Tambwe anacheza faulo  kwa Mbao Njohole, Ally, Ngasa anaudhibiti.

47 Metacha anaanzisha safari, Said Jr, Robert, Kabwili anadaka.
46 vincent, Njohole anaanza Boban, Ajibu anapoteza nafasi
Dakika ya 45 Yanga wanaanza safari kwa Metacha

 

KIPINDI CHA PILI KIMEANZA

Mapumziko

45 zinakamilika zinaongezwa dakika 2
Dakika ya 45+ Boban anapaisha mpira mawinguni
45+1Ally anapiga krossJr   Ndaki Robert anamalizia kwa kichwa
44 Mbao wanapotez moira
43 Moshi anapeleka , Makambo,Ngasa, Ajibu, Metacha anaokoa.
Dakika ya 42 Metacha anaokoa hatari eneo lake.
Dakika ya 41 Tambwe anamtengea Ajibu anapaisha

Dakika ya 40 Metacha, Mwasa,Njohoe anadhibitiwa na Tshishimbi.

43 Moshi anapeleka , Makambo,Ngasa, Ajibu, Metacha anaokoa.
Dakika ya 42 Metacha anaokoa hatari eneo lake.
Dakika ya 41 Tambwe anamtengea Ajibu anapaisha

Dakika ya 40 Metacha, Mwasa,Njohoe anadhibitiwa na Tshishimbi.

Dakika ya 39 Metacha, SaidJr mabeki wa Yanga wanaanua hatari.
Dakika ya 38 Ajiu anatoa nje mpira akiwa karibu na eneo la Metacha.

Dakika ya 37 Haji, Tshishimbi, Haji, Boban, Ngasa, Makambo Njohole anaokoa, Boban anapewa kadi ya njano kwa kucheza rafu.
Dakika ya 36 Metacha anaokoa shuti la Ninja.

Dakika ya 35 Tshishimbi anacheza rafu, Mbao wanaanza, Bernand, Philip, Ninja anaanua wanapata konainaishia nje.

Dakika ya 29 Said Jr, David anadhibitiwa na Haji, Paul, Boban, Tshishimbi anadhiitiwa
Dakika ya 28, Paull Godfery anaporwa mpira, Mbao wanaanza kwa kurusha. Dakika ya 27 Makambo anamtengea Ajibu mpira dani ya box kwa kifua anacheza rafu.

Dakika ya 24 Mbao wanacheza faulo Njohole anapoteza mira, wanafanikiwa kuupata Mbao na kuanza safari kwa KabwiliDakika ya 23 Mbao wanaingia eneo la hatari,Mpira unatoboa nyavu. Dakika ya 22 Ngassa anachezewa faulo, Boban anapiga Tambwe anapiga kichwa kinatoka nje.

Dakika ya 22 Ngassa anachezewa faulo, Boban anapiga Tambwe anapiga kichwa kinatoka nje.
Dakika ya 21 kona inapigwa kwa Mbao Said Jr anapiga shuti linatoka nje.
Dakika ya 20 Paul anarusha, unatolewa nje unapelekwa kwa Kabwili, Pastory anadhibitiwa na Paul Godfrey.
Dakika ya 19 Yondani anaanzisha mashambulizi kwa Metacha.

Dakika ya 16, Metacha,wanaanza safari ya kwenda kwa Kabwili, Godferey anamchezea Rambo faulo
Dakika ya 15 Robert anapoteza mpira unaruswa kwenda Yanga, Njohole, Ramos, Njohole, Mussa pasi inapotea Ramadhan anaanua.
Dakika ya 14 Mbao wanarusha, Said JR, Amors wanapoteza, wanarejea tena wanaishia kwenye box Yondani anaanua
Dakika ya 13 Haji anachezewa faulo

Dakika ya 12 Haji Mwinyi anarusha, Boban, Mwinyi, Godfrey anapoteza.
Dakika ya 11 Ajibu anapeleka mashambulizi kwa Metacha.
Dakika ya 10 Njohole anamchezea rafu Boban, inapgwa haileti matokeo Dakika ya 9, Paul Godfery, Tshishimbi wanapoteza
Dakika ya 8 Mbao wanakosa bao la wazi, Tambwe anaotea.

Dakika ya 7 Mbao wanapiga kona ya kwanza kupitia Said Jr, kona nyingine Amors Charse wanaokoa Yanga.

Dakika ya 6 Ajibu anapiga faulo inaanuliwa na mabeki wa Mbao, Ajibu anacheza faulo, Yondani anatoa mpira nje. Dakika ya 5 Makambo anachezewa rafu

Kikosi cha Mbao

Dakika ya 4 Kabwili anadaka mpira

Dakika ya 3 Athanas anapiga mpira unatoka nje akiwa eneo la hatari
Dakika ya 2 Ngassa anapiga mpira unishia mikononi mwa Metacha.

Dakika ya 1 Said Jr anapaisha mawinguni mpira

Comments are closed.