The House of Favourite Newspapers

Fuatilia LIVE Yanayojiri Bungeni Dodoma Leo Ijumaa, Mei 12

0

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linaendelea na vikao vyake vya Bunge mjini Dodoma asubuhi hii kujadili na kupitisha Bajeti ya Wizara ya Maji na Umwagiliaji.

Asubuhi hii ni maswali kwa Wizara ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Vijana, Ajira na Kazi.

Fuatilia LIVE kupitia GLOBAL TV ONLINE

Leave A Reply