The House of Favourite Newspapers

Fundi Aporomoka Kwenye Jengo Anusurika Kifo – Video

AJALI KAZINI! Fundi mmoja wa ujenzi nusura apoteze maisha baada ya kudondoka, alipokuwa katika eneo lake la kazi na wenzake wawili bandarini jijini Dar leo Machi 12, 2018.

 

===

GLOBAL TV – RIPOTA ni You Tube Channel ya Jamii, inakupa nafasi wewe mdau ku share habari na matukio ya kipekee na wenzio popote walipo duniani, kwa kutumia simu yako ya mkononi. Popote ulipo unapokutana na tukio ambalo unaweza kulinasa kwa njia ya video ya simu yako, basi usisite kufanya hivyo na kisha tutimie kwenda namba 0753 715 779 (+255753715779).

Comments are closed.