G Nako x Diamond Platnumz – Komando (Official Music Video)
MKALI wa Bongo Fleva kutoka Kundi la Weusi, George Sixtus Mdemu ‘G Nako’ ameachia video ya wimbo wake mpya wa Komando ambao amemshirikisha Diamond Platnumz; ni supastaa wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania .