The House of Favourite Newspapers

The Game: Kim Kardashian Agombee Urais Marekani 2020

Related image

The Game.

RAPA wa nchini Marekani,  The Game,  amesema mwanamitindo, mtangazaji  wa kike, Kim Kardashian West, anafaa kugombea urais wa Marekani mwaka 2020 kwani mwanamke huyo ambaye ni mke wa rapa, Kanye West, ana vigezo vya kutosha kuliko ilivyokuwa kwa  Hillary Clinton katika uchaguzi uliopita.

Miongoni  mwa wasanii waliowahi kuwa wanasiasa baadaye wakashika nyadhifa kubwa ni pamoja na aliyekuwa mwigizaji na baadaye kuwa rais wa Marekani, Ronald Reagan, na mwigizaji Arnold Schwarzenegger aliyekuja kuwa Gavana wa California.

 

Comments are closed.