The House of Favourite Newspapers

Gari la Nay wa Mitego Lapigwa Mawe, Kuvunjwa Kioo

0

STAA wa muziki wa Hip Hop nchini Nay wa Mitego jana Ijumaa usiku alikumbwa na tukio baada ya gari lake kurushiwa mawe kuvunjiwa kioo cha gari hilo maeneo ya Sinza Kamanyora Dar, wakati akielekea kwenye vituo cha Televisheni cha East Africa (EATV) kutambulisha video ya wimbo wake mpya ‘Shika Adabu Yako’.

Nay alikuwa akienda kutambulisha ngoma yake hiyo mpya kupitia kipindi FNL kinachorushwa hewani EATV. Baada ya tukio hilo, Nay aliahirisha safari hiyo na tukio zima za kuachia video yake na badala yake aliichia kwenye You Tube usiku huo huo.

Kupitia instagram, Nay wa Mitego aliandika ameandika.

Leave A Reply