The House of Favourite Newspapers

GARI LATUMBUKIA MTONI, WATUMISHI 9 WAFARIKI!

#BRAKINGNEWS: Watu tisa ambao ni wataalam wa Idara ya Ardhi wamefariki dunia baada ya gari aina ya Land Cruiser walilokuwa wakisafiria kumshinda nguvu dereva na kutumbukia mtoni wilayani Kilombero mkoani Morogoro.

 

Mkuu wa wilaya ya Kilombero James Ihunyo amethibitisha na kusema gari hiyo ilikuwa na watu 13 ambapo 9 ndio wamefariki huku waliojeruhiwa wamepelekwa katika Hospitali ya St.Francis kwa ajili ya kupatiwa matibabu. (Picha si ya tukio hilo).

Endelea kufuatilia mitandao yetu kwa taarifa zaidi.

Comments are closed.