The House of Favourite Newspapers

GIGY MONEY; Mimi ni Mzuri Wanaume Wanapagawa – Video

MSANII wa Bongo Fleva, Model, video vixen na mtangazaji wa radio, Gift Stanford ‘Gigy Money’ akifanya mahojiano na wanahabari amesema kuwa wanaume wa Bongo wanapagawa na uzuri wake. Aliyasema hayo usiku wa Desemba 7, 2018, mwigizaji wa Bongo Movie na mwanamitindio, Jaqueline Wolper, alisherehekea siku yake ya kuzaliwa katika ukumbi wa Life Club Mwenge.

Comments are closed.