The House of Favourite Newspapers

Waziri Silaa Afika Gerezani Kutatua Mgogoro Wa Mipaka- ”Rais Samia Amenituma Niwahudumie Wananchi” -Video

0

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ametatua mgogoro wa mipaka kati kampuni inayojulikana kwa majina ya Lushoto Tea company inayosimamiwa yenye kiwanja namba 1468/202 eneo la Gerezani jijini Dar es salaam ikilalamikia jirani yake ambaye ni kampuni ya SF group company mwenye kiwanja namba 2214/202 kwa madai ya kuingiliana mipaka kwenye eneo hilo.

Waziri Silaa ametatua mgogoro huo ulioulidumu kwa muda mrefu baada ya kuzulu katika eneo hilo ambapo amewataka kila mmoja kuheshimu mipaka yake ili kuepusha migogoro baina yao.

Leave A Reply