The House of Favourite Newspapers

Global Group, PrimeLogix Watiliana Saini Utafutaji Masoko

0
Meneja Mkuu wa Global Group, Abdallah Mrisho (wa pili kushoto) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya masoko ya PrimeLogix Freelancers (T) Ltd (wa pili kulia) Mohamed Kapufi wakitia saini mkataba wa makubaliano ya utafutaji masoko kwa ajili ya kampuni ya Global Publishers Ltd. Wakishuhudia utiaji saini na makabidhiano ya mkataba huo ni Mhariri Mtendaji wa Global Group, Saleh Ally (kushoto) na Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa PrimeLogix, Clemence Nyakiha (kulia). Utiaji saini huo umefanyika leo Jumatatu Agosti 03, katika ofisi za Global Group, Sinza Mori jijini Dar es salaam.

MAKAMPUNI ya Global Group na Kampuni ya masoko ya PrimeLogix Freelancers (T) Ltd, leo Jumatatu, Agosti 3, 2020, wametiliana saini mkataba wa makubaliano ya utafutaji masoko kwa ajili ya kampuni ya Global Publishers Ltd.

Timu ya masoko ya PrimeLogix Freelancers (T) Ltd kwenye picha ya pamoja ndani ya studio za Global TV online. 

Utiaji saini wa mkataba huo umefanyika leo katika ofisi za Global Group, Sinza Mori jijini Dar es salaam.

uongozi na wafanyakazi wa PrimeLogix Freelancers (T) Ltd kwenye picha ya pamoja ndani ya studio za Global TV online. 

 

Zoezi la utiaji saini wa mkataba huo likiendelea.

 

Mrisho na Kapufi wakipongezana baada ya kusaini mkataba huo ndani ya studio za Global TV online. 

 

Leave A Reply