The House of Favourite Newspapers

Global Habari: ACT Yajiunga Ukawa, Serikali Yawashushia Rungu Wanaovaa Nusu Utupu

Chama cha ACT Wazalendo kinachoongozwa na Zitto Kabwe, kimejiunga rasmi na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa). Akizungumza na waandishi wa habari kwenye makao makuu ya chama hicho, msemaji wa chama hicho, Ado Shaibu amesema kiongozi wao yupo kwenye hatua za mwisho za kuungana na wenzao wa Ukawa, kwa kuwa wanachokipigania ni kitu kimoja

Comments are closed.