The House of Favourite Newspapers

GLOBAL HABARI: LOWASSA AWAONGOZA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI WALIOJIOTKEZA KUUAGA MWILI WA MWANASIASA TAM


Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa amewaongoza mamia ya wakazi wa Dar es salaam kuuaga mwili wa mwanasiasa wa muda mrefu Richard Tamilway maarufu kwa jina la ‘Tambwe Hizza’ aliyefariki dunia alihamisi Februari 8,2018 nyumbani kwake Mbagala Kizuini na kuzikwa leo katika Makaburi ya Chang’ombe jijini Dar es Salaam.

 

Taarifa ya Denis Mtima inafafanua Zaidi….. Viongozi mbalimbali wa Chama Cha Demokrasia na maendeleo (Chadema) akiwemo Katibu mkuu wa Chama hicho Vicent Mashini na mke wa Mh Lowassa, Regina Lowassa wameshiriki katika shughuli hiyo.

 

Vingozi wengine wa chama hicho walioshiriki msiba huo ni pamoja Meya wa jiji la Dar, Isaya Mwita, Meya wa Ubungo, Boniphace Jacob, Mbunge wa Ubungu, Saed Kubenea, Godbless Lema, Peter Msigwa na wengine wengi.

Comments are closed.