The House of Favourite Newspapers

GLOBAL MOVIES: CORETHA (PART ONE)

CORETHA ni filamu inayoelezea matatizo yanayowakumba watoto wa kike katika jamii nyingi za kitanzania ambapo katika filamu hii mhusika Coretha ambaye ni mwanafunzi wa darasa la 6 alikatishwa ndoto yake na kuozeshwa na ndugu zake baada ya wazazi wake kuaga dunia.

Mtunzi- NESTORY MASEKE. mwongozaji- NESTORY MASEKE. camera man- JIMMY PAPUSHKA.

mhariri- JIMMY PAPUSHKA

WAHUSIKA
FADHILI MSISIRI
RINGO
SURATH HAMIS
EMANUEL MAASA
MAGRETH FRANCIS
KITUNGUU MAJI
MAFISANGO JOHANES
BI CHALLA
NESTORY MASEKE

Comments are closed.