The House of Favourite Newspapers

Global Publishers Yapokea Tuzo Sabasaba 2021

0

Kampuni ya Global Publishers Ltd leo Julai 13, 2021 imepokea Tuzo ya Heshima kwa kudhamini maonesho ya Kimataifa ya Biashara (TanTrade) 2021 maarufu kama maonesho ya Sabasaba ambayo yalikuwa ya 45th DITF, mbele ya Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla.

 

Tuzo hii imepokelewa na Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho ikiwa ni kielelezo cha TanTrade na waandaaji wa maonesho hayo kuthamini mchango mkubwa uliotolewa la Global Publishers.

 

Leave A Reply