The House of Favourite Newspapers

Global TV Live: Tazama Mubashara Irene Uwoya Valentines’ Special Night Party

LEO Februari 14, 2017, ikiwa ni siku ya msanii wa Bongo Movies, Irene Uwoya anafanya Party kubwa akiwa na wadau wenzake. Global TV Online inakuletea sherehe hiyo Mubashara kutoka Klabu ya Next Door, Masaki Dar.

Saa 6:30 Usiku: Shoo yenyewe

Mwanahari wetu, Mussa Mateja anatoa neno la utangulizi stejini.

  Linah Akifanya yake stejini
Tunaweka mambo sawa!

Mussa Mateja akitoa neno la utangulizi

Straicker Obama akijitambulisha na kupiga stori na paparazi Matej

Watu wanazidi kumiminika ukumbini

Party inaonekana itapendeza kuliko kawaida

Party imeeshaanza sasa.

Wasanii wameshaanza kutumbuiza.

Linnah anakamu Jukwaani
 

Shilawadu wanaelezea mipango yao na tours zao za mikoani wanazotegemea kuzifanya hivi karibuni

​Diva the Bause: Natamani Kudate na Ali Kiba

​Diva: Niliwahi kufanya interview na Kiba akasema anatamani kunioa.

Imetimba mpaka alipoketi Q-Chief

Q-Chief: Nimekuja kutazama watu wanavyopendana, huenda na mimi nikajifunza namna ya kupenda

​Q-Chief: Nimependa namna ambavyo waandishi wa habari wanaweza kujumuika na wasanii na mambo yakaenda sawa

Q-Chief: Kitu nilichokiona kunivutia ni watoto warembo.

Q-Chief:Sijaalikwa lakini nimeibukia tu ili nije kuona watoto wazuri walivyonoga.

Diva yupo stejini ana host shoo

Big up kwa Diva, amependeza kinoma

Diva anawaita Mose Iyobo na Aunty stejini

DIVA: anawauliza swali

​Diva: Mlikutana wapi mkaanza mapenzi

AUNT: Tulikutana kwenye ndege tukienda Sauzi

​AUNT: Hatukutongozana wakati huo…

​AUNT: Tulikujauanza kufanya mapenzi hapa Bongo

​DIVA: Kwa nini ulimuita Harmorapa anafanana na nyani?

Mose Iyobo: Sikumaanisha hivyo

​DIVA Ulienda kuwasimulia WCB baada ya kulala na AUNT?

Mose Iyobo:Sikuwasimulia

​DIVA: Aunt una neno gani kwa Uwoya?

​DIVA: Nampenda tu

Aunt na Mpenzi wake Mose Iyobo

AUNT na Mose Iyobo wanapigana mabusu mbele ya mashabiki, mbele ya steji

Diva anamuita kajala stejini

DIVA: Kajala unaweza kudate na nani kati ya Kiba na Diamond?

Irene Uwoya alivyotokelezea

Kajala: Hakuna kati yao

Diva: Kwa nini

​Kajala: Siwezi tuuuu

​Diva: Quick Rocker mmeachana:

​Kajala: Siajwahi kumdate Quick Rocker

Shoo inaendele kama kawa.

=====================================

MWISHO WA SHOOOO nA MWISHO WA MATANGAZO HAYA YA MOJA KWA MOJA KUPITIA GLOBAL TV ONLINE

PICHA ZOTE NA MUSA MATEJA | GLOBAL PUBLISHERS

Comments are closed.