The House of Favourite Newspapers

GLOBAL TV ONLINE: TAMTHILIA YA SHEVOLA (Part 1)

0

GLOBAL TV Online inakuletea mfululizo wa Tamthilia maarufu. Naamini uliiona lakini haikua yote au ulisikia ubora wa TAMTHILIA TA SHEVOLA au pengine haukubahatika kabisa kuitazama, hii ni tamthilia bomba sana isiyokwisha utamu.

Filamu hii ilitesa sana kupitia  Star TV, huu ni wakati wako sasa wa kufuatilia SHEVOLA yenye kisa kizito cha binti aliyeibuka na kuwachanganya akili walinzi wa Mfalme.

Ni moja Kati ya filamu bora na iliyopendwa na wafuatiliaji wa Shindano la TMT (Tanzania Movie Talents) 2015.

Usipitwe na Matukio, Install ===>Global Publishers App

Utaifuatilia kwa muda wako kupitia simu yako ya mkononi, kila siku ya JUMAMOSI NA JUMAPILI saa 11:30 hapa hapa GLOBAL TV Online.

WAHUSIKA WAKUU NI: Aisha Katabazi, Ahmadhaman Masusuli, Juma Masanja, Moses William, Sala Kalisa, Sebastian Joseph na Titus Joseph.

Producer: Abbas Saad Kibiki, Executive Producer: Kibiki Entertainment, Director: Abbas Saad Kibiki, Editoro: Marcel Asimwe, Cameraman: Hamis Mwema.

SHEVOLA|GLOBAL TV ONLINE

Leave A Reply