The House of Favourite Newspapers

Global yagawa nailoni kwa wauzaji wa Magazeti Dar

0

1.Maofisa wa Global Publishers idara ya Usambazaji, Jordan Ngowi na Jimy Haoroub (waloiko mbele) wakitundika Naironi ya karatasi kwa ajili ya kufunikia gazeti eneo la kituo cha dal;adala Mwenge.Maofisa wa Global Publishers Kitengo cha Usambazaji, Jordan Ngowi na Jimy Haroub (walioko mbele) wakimwekea muuzaji wa magazeti jinsi ya kufunika magazeti kwa nailoni ili yasilowe eneo la Kituo cha Daladala cha Mwenge, Dar.

2.Muuzaji wa Magazeti kituo cha Rufungira, Mwenge (kushoto ) aisaidiwa kuwekewa karatasi ya lailoni kwa ajiri ya kuzuia mvua kutoka kwa ofisa wa usambazaji NgowiMuuzaji wa Magazeti Kituo cha Lufungira-Mwenge (kushoto ) akisaidiwa kufunika nailoni kwenye meza yake ya magazeti ili yasilowe, anayelekekeza ni Jordan Ngowi.

5.Zoezi likiwa limekamilika la kuwagawia karatasi za lailoni.Baadhi ya wauzaji wa magazeti maeneo ya mataa ya Ubungo wakipewa nailoni kwa ajili ya kufunika magazeti.

6.Muuuzaji wa magazeti eneo la kituo cha daladala cha Kimara Baruti (mwanamama aliyeko katikati) akisaidiwa kuweka karatasi ya laironi kutoka kwa maofisa uasambazaji wa Global.Muuzaji wa magazeti eneo la kituo cha daladala cha Kimara-Baruti (mwanamama aliyeko katikati) akisaidiwa kuweka nailoni kutoka kwa maofisa usambazaji wa Global.

8.Muuzaji wa magazeti eneo la Malamba mawili iliyoko Mbezi akifurahia mara baada ya kuwekewa karatasi ya kuzuia mvua kutoka kwa ofis usambaziji, Jordan Ngowi kwenye meza yake .Muuzaji wa magazeti eneo la Malamba Mawili -Mbezi akifurahia mara baada ya kuelekezwa jinsi ya kutumia nailoni kufunikia magazeti aliyokuwa akiyauza.

9.Ofisa usambaziji ,Jimy Haroub (kulia) akishughurika kumuwekea karatasi la laoloni muuzaji wa magazeti (katikati mwenye shati nyeupe) eneo la Kifuru .Ofisa usambaziji, Jimy Haroub (kulia) akimuelekeza muuza magazeti jinsi ya kufunika nailoni meza yake ya magazeti ili yasilowe.

10.Muuzaji wa magazeti eneo la kituo cha daladala cha Kinyerezi (kulia) akisaidiana na Ofisa usambazaji wa Global, Jimmy haroub kufunika magazeti na karatasi la lailoni.Muuzaji wa magazeti eneo la kituo cha daladala cha Kinyerezi (kulia) akisaidiana na Jimmy Haroub wa Global kufunika magazeti kwa nailoni.
MAOFISA usambazaji wa Kampuni ya Global Publishers Ltd ambao ni wachapishaji wa Magazeti ya Uwazi, Championi, Amani, Risasi na Ijumaa leo wamegawa nailoni maalim kwa ajili ya kufunikia magazeti wakati wa mvua kwa baadhi ya wauzaji wa magaeti jijini Dar es Salaam.
Maofisa hao ambao wamefanya zoezi hilo la kugawa nailon hizo waliongozwa na Jordan Ngowi akisaidiwa na Jimy Haroub ambao wameweza kuzunguka maeneo tofauti jijini kwa ajili ya utoaji wa nailoni hizo.
Lengo la kugawa nailoni hizo ni kuwawezesha wauzaji wa magazeti kuuza hata kipindi mvua kutokana na msimu wa mvua za vuli kuanza jijini Dar.
NA DENIS MTIMA/GPL

Leave A Reply