The House of Favourite Newspapers

#GlobalMusic: Ule Wimbo Mpya Aliyousema Vanessa Mdee Ndio Huu ‘Just Like That’ – (Video)

Siku mbili zilizopita Vanessa Mdee alitweet kuwa kuna wimbo mpya unakuja wiki hii, na kama ulikuwa standby kupokea kazi mpya kutoka kwa Vee Money ikamate hii.

Kupitia Instagram page yake Vanessa Mdee amepost teaser ya wimbo huo unaoitwa ‘Just Like That’ ikiwa ni kazi aliyoshirikishwa na msanii kutoka Nigeria Orezi. Watayarishaji wa wimbo huu ni Popito na Dr. Amir, Director wa video ni Seasan kutoka Nigeria.

Kwa wale wanaotafuta sababu za kwenda club Ijumaa hii basi wimbo huu ni sababu ya kukupa vibe la kutosha.

When I move you move, Just Like That, Just Like That… When I move you move Just Like That, Just Like That…” – Orezi na Vanessa wanaimba kwa kupokezana, huku Vee akiendelea kuimba – “ Nami nimo wengine usiowaone, kuwa na mimi pekee, kwenye vita nitetee… kuwa na mimi pekee,kwenye vita nitetee…

Icheki video nzima hapa chini.

OREZI Ft. VANESSA MDEE – JUST LIKE THAT

 

Imeandikwa Na: Sandra Brown.

Subscribe kwenye YouTube Chanel yetu ya Global TV Online ili zote kali zinazotufikia iwe ni siasa, michezo, comedy, burudani, stori za mastaamuziki na nyingine zikufikie kwa wakati.

Comments are closed.