The House of Favourite Newspapers

H-Baba Alia Akiongelea Mikataba ya Harmonize Amkataa Diamond Aruka na Kiba – Video

0
Msanii mkongwe wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania, H Baba.

MSANII mkongwe wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania, H Baba ameshindwa kujizuia na kujikuta akimwaga chozi wakati akizungumzia mikataba wanayosaini wasanii katika Lebo ya Konde Gang iliyo chini ya Harmonize.

 

H Baba anasema kuwa, miongoni mwa vitu vinavyomuuma ni pamoja na msanii kutakiwa kulipa shilingi bilioni 1 kama anataka kujitoa kwenye lebo hiyo huku akitakiwa kulipwa shilingi milioni 10 kama lebo ikitaka kuachana naye.

H Baba ameyasema hay oleo Jumatano Novemba 30, 2022 katika mahojiano maalum na Kipindi cha Hotpot kinachorushwa mubashara na +255 Global Radio na Global TV

Leave A Reply